Pango Langu ni app ya kisasa inayokusaidia kupata nyumba kwa urahisi, kuungana na watu, kupata taarifa na fursa karibu nawe. Yote kwa app moja.
Huduma Zetu
Tafuta hosteli, vyumba, viwanja na nyumba kwa kutumia location ya muda halisi. Rahisi, haraka na ya kuaminika. Wasiliana moja kwa moja na mmiliki.
Unganisha na watu, jadili, shirikiana na jenga mtandao wa mahusiano. Jukwaa la wanafunzi kushirikiana na kupata msaada wa masomo.
Pata matukio, semina na mikutano mbalimbali sehemu uliopo. Sajili na ushiriki katika matukio yanayokufaa karibu nawe.
Soko wazi la talanta kwa wataalamu. Toa na pata huduma za kitaalamu karibu nawe.
⏳ Itakuja Hivi KaribuniFaida Kwa Wewe
Tumia GPS kupata nyumba, hosteli na viwanja vilivyo karibu nawe. Angalia picha, maelezo na bei kabla ya kuwasiliana.
Jadiliana na wanafunzi wenzako, shiriki hati na maswali, na jenga mtandao wa kusaidiana.
Interface rahisi kutumia, haraka na salama. Maudhui yote yanakaguliwa na timu yetu kabla ya kuchapishwa.
Nyumba, matukio, jamii na teknolojia za ujenzi — yote katika app moja. Pakua mara moja, tumia kila wakati.
Pango Langu imeundwa kwa ajili ya kila mtu anayetaka maisha bora ya kidijitali Tanzania.
Salama. Rahisi. Inaaminika.
Pango Langu, maisha kidijitali bora.
Pakua Sasa
Unganisha, Tafuta, Fanikisha. Pakua app bure sasa hivi kutoka Google Play Store na uanze safari yako ya maisha kidijitali.
Pata Kwenye Google PlayInapatikana kwa Android • Bure Kupakua